Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na GIST US na JOINT ARENA Tarehe 26 ya mwezi wa wa tisa,huko Zamfara zaidi ya wanawake 8000 waliandamana kudai haki ya kuolewa baada ya kuwepo kwa wanaume wachache wanaowaoa na huku wengi wakibaki pasina kuolewa.Hali ya maisha iliyongumu imewasukuma wanawake hao ambao hawataki kuenda kinyume na mafunzo ya M/Mungu ya kuzini,imewalazimu kuandamana ikiwa kama njia ya kudai haki hiyo ya msingi ili serikali iwasaidie kuwapatia mume.Inasemekana wanawake wamekuwa wakipata msosi mmoja na tu kwa siku na huku bado hawana njia mbali mbali za kuwaingizia kipato cha kuwanya waweze kuishi kwa amani huku wakitekeleza sheria za M/Mungu.
Maandamano hayo yaliongozwa na Hajiya Suwaiba Isa amabaye ni mwenyekiti wa jumuiya ya wajane wa Zamfara,Alhaji Sa'idu Ghoshe alithibisha kutokea kwa maandamano na kusema kwamba wanawake hao walifiksha madai yao ya kuhitajia ndoa na pia alisema jumuiya hiyo inawa zaidi ya wanawake 8000 amabao wakiwemo 5380 waliopewa talaka,2200 wajane,1200 wajane na wangine 80.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUONYESHA KUJALI
Blogger Comment
Facebook Comment