-->

HII NDIO TOP TEN YA WACHEZA FILAM WANAOLIPWA PESA NYINGI KIDUNIA

Forbes imemtaja Robert Downey Jr. the highest-paid actor of the year.


Tangia kutoka kwa MOVIE yake ya Iron Man IMEMPANDISHA chati msanii huyu Robert Downey Jr. na kuanza kuingiza mkwanja mrefu zaidi kushinda wasanii wote huko Hollywood nchini Marekani. Pia msanii huyu licha ya Kuigiza "Iron Man 3" pia ameigiza "The Avengers."  mwaka uliopita. Kwa ufupi msanii huyu allilipwa $50 million katika Movie hiyo mwaka ulipita. kwa Mujibu wa makadirio msanii huyu amekuwa akilipwa Si chini ya Dola Millioni  {$75 million}

2. Channing Tatum: $60 million
Huyu ni mchezaji maruufu sana kwenye ile michezo yetu   "Step Up," Movie alizocheza ni  "Magic Mike" na "21 Jump Street."
3. Hugh Jackman: $55 million
Huyu ni maarufu sana kwa Movi  aliyocheza inaitwa Wolverine.Hivyo movie Hiyo ilimtambulisha Vyema na kumuongezea Mkwanja zaidi............
4. Mark Wahlberg: $52 million
Huyu jamaa nadhani umeshawahi kumuaona katika movie Nyingi sana, Pia ni mchekeshaji alianza na movie moja inaitwa  "Ted" Na baadaye Movie yake ya Mwisho Iliyomwinia zaidi ni "Transformers"  Jamaa anamake Dola millioni 52
Ted movie
Universal


5. Dwayne "The Rock" Johnson: $46 million
Kama kawaida ni mcheza miereka maarufu sana aliyejikita zaidi kwenye upande wa filamu na kumpatia mafanikio zaidi na umaarufu mkubwa. Movie zilizompatia umaarufu mkubwa ni "Journey 2: The Mysterious Island," "Pain and Gain" Na Movie iliyouwa kabisa ni "Fast & Furious 6."
sasa Yuko kazini kuifanya Movie yake mpya inayoitwa"Hercules."
6. Leonardo DiCaprio: $39 million
Da! najua tu watu wengi wanampata huyu jamaa kwa jina jingine ni JACK, najua utakuwa umenipata kama utakuwa umecheki Movie yake ya kwanza TITANIC. Jamaa huyu amecheza Movie nyingi Kama Blood diamond n.k 
7. Adam Sandler: $37 million
Jaamaa aliye upande wa kulia kwako navipaji vingi sana  kwanza ni comedian, maarufu sana pia ni screenwriter, and film producer. Movia iliyompatia Umaarufu sana ni "That's My Boy," kama kaida analipwa Dola Milioni 37 ukimtaka umchezeshe Film yako
adam sandler grown ups 2


8. Tom Cruise: $35 million
Kama kawaida Cruiz amecheza Movie chache lakini zimemfanya awe Ghali kama Mission Imposible n.k
Pia movie yake  "Jack Reacher" Imempandisha chati na kumuweka katika nafansi nzuri zaidi
jack reacher


9. Denzel Washington: $33 million
Muigizaji mkongwe Denzel anafahamika kwa kucheza Movie nyingi Movie iliyompandisha na kupatikana kwa Dola Million 33 Kama ukimuhitaji ni  "Flight
denzel washington flight


10. Liam Neeson: $32 million
Huyu ndiye msanii wa mwisho anayekula Dola Million32 kama ukimuitaji katika Movie yako 
Kama umemuona katika Movie yake ya TAKEN 2
taken 2 liam neeson
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment