Leo naibu waziri na serikali za mitaa mh Aggrrey mwanry amefanya ziara ya
kukagua miradi ya maendeleo akiongozana na viongozi wa andmizi wa chama
na serikali akiwemo mzee SALIM KASSIM KISAUJI,Makamu naibu Mea kaka
yangu Sele boss DC na katibu wa wilaya wa ccm Tanga jiji na mwisho
kufanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kata ya mabawa na yafuatayo
aliamuru yafanyike kwa haraka:
1.wazee watambuliwe rasmi kwa kuorrodheshwa nakupewa vitambulisho rasmi vitakavyo wawezesha kupata huduma za afya bure
2.waliofanya ubadhilifu katika miradi yote ya maendeleo ama kwa kujenga
chini ya kiwango ama kulipa gharama amazo hazistahiki wachukuliwe hatua
haraka
3.Wananchi wajiunge kwenye mifuko ya bima ya afya iliwaweze pata huduma,
4.Nimarufuku kumchaji gharama mama mjamzito na watoto wote wenye umri chini ya miaka 5
5.mkuu wa wilaya ahakikishe hospitali zote dawa zinapatikana kwani MKOA
wa Tanga store ya madawa ipo hapahapa hivyo anashangaa madawa
kutokuwepo ktkt mahospitali,pia mganga mkuu ametahadharishwa kwa baadhi
ya wauguzi kuwachaji wakina mama wajawazito na wameamriwa kuacha mara
moja pia ametaja namba zake za simu pamoja na zawakuwa wa usalama wa
wilaya na mkuu wa wilaya kwa leo la kutoa taarifa pale unapoona hupatiwi
huduma stahiki
Naomba tuungane pamoja katika kumtetea mnyonge kwa
kutoa taarifa namba ya agg rey mwanry ni 0754693156 dc ni 0655303397 na
mku wa polisi wa wilaya ni 0713341256.alitoa mwezi mmoja kwa idara
husika kufanya maamuzi na tafuatilia
About Omari Makoo
Blogger Comment
Facebook Comment