-->

MSHUHUDIE FRANCIS CHEKA AKIWA DARASANI NA WANAFUNZI WENZAKE



Bondia Francis Cheka akiwa darasani hapa akimsikiliza mwalimu aliyekuwa anafundisha soms la computer.Cheka ametimiza ahadi yake ya kurudi shuleni kuongeza ujuzi zaidi mara daada ya chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro Kumpa nafasi ya bondia huyo kusoma bure chuoni hapo ikiwa ni ahadi waliyoitoa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Wakati wa sherehe ya kumpongeza bondia huyo


 Bondia Francis Cheka Akiwa na wanafunzi wa chuo hicho katika picha ya pamoja

 Bondia Francis Cheka  pamoja na baadhi ya wanafunzi wa chuo cha St Joseph cha mjini Morogoro wakijisomea mara baada ya kumaliza kipindi
 Na shekidele
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment