Winga wa Real Madrid, Gareth Bale, amepanga jumba la kifahari la kiungo Riacardo Kaka lililopo jijini Madrid ambapo analipa pauni 10,000 (sawa na shilingi milioni 26/-) kwa mwezi.
Jumba hilo lipo kwenye eneo la watu wenye fedha jijini Madrid, Puzoelo de Alarcon, ambako wanaishi nyota wengine waReal Madrid akiwemo Cristiano Ronaldo, Karim Benzema, Iker Casillas na Sergio Ramos.
Bale ambaye alisajiliwa na Real Madrid kwa rekodi ya dunia ya PAuni Milioni 87 analipwa mshahara wa pauni 300,000 kwa wiki.
Blogger Comment
Facebook Comment