-->

MFUNGWA AJARIBU KUTOROKA GEREZANI KWA KUTOBOA UKUTA


mfungwa aliyetambulika kwa jina la Rafael Valadao huko Brazil amejaribu kutoka gerezani kwa kutoboa gereza na kutaka kutoroka.Jitihada zake ziligonga mwamba baada ya askari kumkuta akiwa kwenye harakati zake za kuweza kutoroka.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment