1.chukua karatadi jeupe
2.dondoshea kiasi kidofo cha asali juu ya karatasi
3.acha asali hiyo kwa muda mfupi kwenye karatasi
4.geuza karatasi nyuma na uangaliae kama kuna dalili zozote za UNYEVU(mfano wa unyevu wa maji) upande wa pili wa karatasi.
5.kama karatasi halijapata UNYEVU basi asali yako ni halisi, kama imepata unyevu basi IMECHAKACHULIWA.
Tusaidie kupambana na WACHAKACHUAJI na kulinda afya zetu kwa kushare post hii kwa wingi.
imetolewa na Honey spring
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment