-->

MAKAMU WA RAISI AZINDUA KAMPENI ZA NYOTA YA KIJANI


Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea isanduku cha zana za uzazi wa mpango kutoka kwa Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa, Kulia ni Balozi wa Marie Stops Tanzania, Narietha Boniface, wakati alipotembelea katika Mabanda la maonyesho la Marie Stops, alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifung
ua rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na kuzindua rasmi Kampeni ya Nyota ya Kijani, wakati wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Taaluma wa Shirika la Engender Health, Feddy Mwanga, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipotembelea kwenye Banda la maonyesho la PSI, wakati alipotembelea katika Banda hilo la maonyesho katika Mkutano wa Kitaifa wa Uzazi wa Mpango na Uzinduzi wa Kampeni ya Nyota ya Kijani, uliofanyika leo Okt. 9, 2013 kwenye Ukumbi wa Mliman City, Dar es Salaam.

Banda la PSI limesheheni





 

Picha ya pamoja ilipigwa.Source: FATHER KIDEVU BLOG
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment