-->

C.RONALDO USO KWA USO NA IBRAHIMOVIC KWENYE KUOGOMBEA TIKETI ZA KOMBE LA DUNIA

Cristiano Ronaldo vs Zlatan
Ureno itapambana na Sweeden katika kutafuta tiketi ya Kwenda katika Kombe la Dunia huko Brazil.
Katika ratiba iliyopangwa leo ya Mchujo wa timu za Ulaya, Ufaransa wamepangiwa Ukraine, Romania watapambaa na Ugiriki huku Iceland wakuwa na Croatia
Michezo itachezwa tarehe 15 mwezi wa 11 na kurudiwa tena tarehe 19 mwezi huo huo.
Portugal v Sweden
Ukraine v France
Greece v Romania
Iceland v Croatia
CHANZO:KANDANDA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment