ZANZIBAR.
JUMUIYA YA MUZDALIFA ISLAMIC CHARITABLE ORGANAZATION IMETOA SADAKA YA NYAMA YA NGOMBE NA MBUZI KWA MNASABA WAKUSHEREHEKEA SKUKUU YA IDDIL-HAJJ.
AKIZUNGUMZA NA RADIO NOOR FM MWENYEKITI WA JUMUIYA HIYO AL-USTADH ABDALLAH HADHAR ABDALLAH AMESEMA KUWA SADAKA HIYO IMESAMBAZWA KATIKA WILAYA YA KUSINI,KATI,KASKAZINI A, KASKAZINI B NA BAADHI YA MAENEO YA WILAYA YA MAGHARIBI.
KIONGOZI HUYO AMEFAFANUA KUWA JUMLA YA NGOMBE 200 NA MBUZI 700 WAMEWASAMBAZA KATIKA WILAYA HIYO.
AIDHA USTADH ABDALLAH AMEONGEZA KUWA SADAKA
HIYO IMETOLEWA NA JUMUIYA ZAKIISLAM ZA I.H.H,DAYANET,SADAKAT SHEIKH ZA UTURUKI KWA AJILI YA WAISLAM WA ZANZIBAR.
AMEFAFANUA KUWA JUMUIYA YAO PIA IMEGAWA MISAHAFU 1000 KATIKA MKOA WA DAR-ES-SALAAM.
AKIZUNGUMZIA HOSPITALI YA KIISLAM ILIYOJENGWA NA JUMUIYA YA MUZDALIFA ISLAMIC CHARITABLE ORGANAZATION KATIKA MAENEO YA MITONDOONI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA USTADH ABDALLAH AMEWAOMBA WAFADHILI KUJITOKEZA KUSAIDIA VIFAA MBALI MBALI ILI KUIWEZESHA HOSPITALI HIYO KUANZA KUTOA HUDUMA.
AMESEMA HADI SASA HOSPITALI HIYO HAIJAPATA KIFAA CHOCHOTE KWAAJILI YAKUANZA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI.

Blogger Comment
Facebook Comment