-->

NABII JOSHUA WA NIGERIA AJA NDOTO YA MAJAABU,TIZAMA VIDEO HAPA KUJIONEA

Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani?

Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili jumatano na alhamisi ijayo aonyeshwe ni rais gani na nchi gani.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment