-->

KIONGOZI WA BOKO HARAM AJITOKEZA AKIWA HAI BAADA YA KUSINGIZIWA KUUAWA

somalimemo.netHatimae propaganda za utawala wa Nigeria iliyosema kuwa imemwua kiongozi wa Boko Haram Sheikh Abu Bakar Shekow wa nchini Nigeria imekuwa ya uongo na kiuzushi.


Ujumbe wa Video wa Sheikh Abu Bakar Shekow ambayo ilisambazwa kwenye mitandao za Internet imekuwa fedheha kwa utawala wa Nigeria iliyotangaza mwezi iliyopita kuwa ilimwua Abu Bakar Shekow.


Sheikh Abu Bakar Shekow akizungumza amesema "Makafiri wote wamejikuta wakiwa na fedheha,viongozi wa Nigeria,Uingereza,Rais wa Ufaransa,na Israel walikuwa wakipongezana kwa kuniua mimi,mnaniona mimi niko hai na Allah ananiruzuku,Allah bado hajanipa niwe miongoni mwa Mashuhadaa,maadui twawambieni kufeni na hasira zenu!" Alisema Abu Bakar Shekow.


Kiongozi huyo wa Jama'at Ahlu Sunna Li Da'awat Wal Qitaal Abu Bakar Shekow ameonekana kwenye Video huko pembezoni mwake kukiwa na Silaha ya Bunduki ya AK47 na Wanajeshi wake wakiwa wamekaa karibu yake akiwa hana wasiwasi kabisa.


Jama'at Ahlu Sunna Lida'awat Wal Qitaal ambayo mataifa ya nchi za Magharibu huwaita Boko Haraam liko kwenye mapambano makali dhidi ya Utawala wa Nigeria na mwaka jana lilichukua udhibiti wa mikoa minne ikiwemo mkoa wa Borno nchini Nigeria.
habari kutoka:SOMALIMEMO
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment