-->

AL SHABAAB:TUKO TAYARI KUKABILIANA NA JARIBIO LOLOTE

somalimemo.net 
Uongozi wa kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamesema wako tayari kukabiliana na jaribio lolote la kimataifa dhidi ya viongozi wa Mujahidina siku mbili tu baada ya kushindwa jaribio lililofanyika mji wa Baraawe.


Sheikh Abdul Aziz Abu Mus'ab muda mchache uliopita aliongea na waandishi wa Habari na kutuma ujumbe kwa mataifa ya kigeni kuwa "wajue watu wanao waijia ni Mujahidina na wakae wakijua kuwa usiku na mchana hawalali,na wako makini na vitimbi vya maadui wa Allah na sisi si watu walio lala kila mara Inshallah opresheni zao zitafeli tu!" alisema Abu Mus'ab.


Maelezo ya Abu Mus'ab yanakuja huko siku chache zilizopita kulifanyika opresheni iliyofeli ambapo wanajeshi wa kikosi maalum wa Marekani ilishiriki opresheni hiyo uliofanyika katika mji wa Baraawe iliyopo kusini mwa Somalia.

Sikiliza Hapa Sauti ya Sheikh Abdulaziz Abu Mus'ab
Na Mwandishi:Liban Jehow Abdi SomaliMemo.
credit to :somalimemo
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment