-->

TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE YAILIWAZA TANZANIA KWA KUITWANGA MSUMBIJ BAO 10 BILA

Timu ya Taifa ya wanawake imeshinda bao 10 dhidi ya Msumbiji,timu hiyo ya Taifa ya wanawake ilishinda bao 4 katika kipindi cha kwanza mchezo huo na kuongeza bao sita katika kipindi cha pili cha mchezo huo.Timu hiyo imeinua shauku ya mashabiki wa soka kuanza kufuatilia maendeleo ya timu hiyo pekee inayokidhi haja za mashabiki za kuwafurahisha mashabiki.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment