-->

HII NDIO TAARIFA YA POLISI KUHUSU VIJANA WALIOKAMATWA WAKIFANYA ZOEZI POLINI HUKO MTWARA

45


3

1 
Hizi ni moja ya CD zilizokamatwa na askari wa jeshi la polisi Mtwara ikiwemo na kuwakamata vijana 11 ambao wanadaiwa walikua wakifanya mazoezi ya kijeshi waliyokua wakijifunza kutoka kwenye CD za magaidi zilizokua na mafunzo kutoka kwa makundi ya Al Shabaab na Al Qaeda.

Taarifa zaidi unaweza kuzisoma hapo chini kwenye hiyo taarifa iliyotolewa na jeshi la polisi.
2





 
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment