-->

NDOA YA VIKONGWE YASHANGAZA WATU HUKO PARAGUAY



Hii imetokea huko Paraguay ambapo Bw. Jose Manuel Riella (103) alipoamua kufunga pingu na Bi. Martina Lopez (93) baada ya kuishi katika uchumba kwa miaka 80ambapo uchumba wao ulianza mwaka 1933.
Katika maisha yao walifanikiwa kuzaa watoto wanne wakiwa na hazina ya wajukuu 50,vitukuu 35 na vilembwe 20,wengi wao walihudhuria ndoa hiyo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment