-->

INSPEKTA WA JESHI LA POLISI APIGWA RISASI MKOANI TANGA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixzBY0ivyo5dWdn6sIjPpFLKMQUu-WVhrpY4ES1syRoQkGXsXcYT6Zk8oYrePf5-2WTHxfz-vZ4oaOj4_rZAikjCuyvYmwSPk0Q-VYS2HK3lvlXs8R3fWeDbf8lySkAseENHSrQM3xfGk/s1600/IGPmwema...jpg 
IGP SAID MWEMA.

Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya maz
oezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi. Chanzo ITV
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment