Idadi ya watu waliokufa kwenye vurugu za Mombasa imefikia watu wanne,kutoka Kenya red cross taarifa hiz zinasema haijafahamika kwamba watu hao wamekufa kutokana na gun au machete.Vurugu hizo ziliibuka baada ya viongozi wa dini ya kiislam nchini Kenya huko Mombasa kuuawa na watu wasiofahamkika hapo juzi.
IDADI YA WATU WALIOKUFA KWENYE VURURGU ZA MOMBASA BAADA YA KUUAWA IBRAHIM ROGO YAFIKIA WANNE
Idadi ya watu waliokufa kwenye vurugu za Mombasa imefikia watu wanne,kutoka Kenya red cross taarifa hiz zinasema haijafahamika kwamba watu hao wamekufa kutokana na gun au machete.Vurugu hizo ziliibuka baada ya viongozi wa dini ya kiislam nchini Kenya huko Mombasa kuuawa na watu wasiofahamkika hapo juzi.
0 comments :
Post a Comment