Mwandishi wa ITV/Radio One Ufoo Saro apigwa risasi nyumbani kwao leo
Mwandishi wa ITV/Radio ONe Ufoo Saro akiingizwa Kitengo cha dharura katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mwandishi
wa kituo cha Itv /Radio One Ufoo Saro amepigwa risasi nyumbani kwao
eneo la Kibamba jijini Dar es salaam na kukimbizwa kwa matibabu ya
haraka katika hospitali ya taifa ya Muhimbili,ambapo katika tukio hilo
mama yake mzazi na ufoo saro ameuawa kwa kupigwa risasi huku mhusika
aliyefanya tukio hilo naye amejiua kwa kujipiga risasi kichwani.
Blogger Comment
Facebook Comment