Bwana Reginard Mengi ameonesha kusikitishwa na kauli ya Waziri wa madini Prof Sospeter Muhongo kwa kusema kuwa Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi na badala yake wafanye biashara ya kuuza juice.
Akihojiwa leo NA SAUTI YA AMERIKA, Mengi amesema kuwa kwanza serikali kugawa gesi kwa wageni bila hata kuwepo kwa sera ya gesi ni uporaji mkubwa wa mali za Watanzania bila ridhaa yao. Amemwambia hayo maneno ya kuuza juice
aende akawaambie wanafunzi wake na asidhani kila Mtanzania hawezi kuwekeza kwenye gesi. Amemshauri arudi chuo akafundishe na maswala ya gesi awaachie Watanzania
Source:SAUTI YA AMERIKA

0 comments :
Post a Comment