Kutoka kwenye facebook page yake Edo kumwembe ameandika post hii hapa chini
"....Nitakuwa busy sana na shughuli za TV kila mwisho wa week...kipindi cha Kabumbu na Azam TV...na nitasaini mikataba flani binafsi na kampuni flani mbili..natangaza KUJITOA nafasi ya usemaji Coastal Union. Ilikuwa gud experience sana kuwa Coastal..bonge la timu lenye values and tradions zake...am looking forward to work with them next tyme. Am still big fan. Thanks!!!!"
Pia BUSTANI YA HABARI ili endelea kuchimba chanzo cha kuamua kujiondoa kwenye timu hiyo pamoja na yeye mwenyewe kusema sababu ya yeye kumuondoa ni kubanwa na mjukumu mengine.BUSTANI YA HABARI ilifanikiwa kupata undani wa swala hilo baada ya kuipata posta ya kutoka kwenye LENZI YA MICHEZO ambayo ni moja ya blog ya michezo maarufu nchini TANZANIA......Isome post hiyo hapo chini
Akizungumza jana jijini Dar es
Salaam, Kumwembe ambaye pia ni mchambuzi wa mambo ya soka, alisema kuwa lolote
linalotokea ndani ya timu hiyo hawezi kulalamika kwakuwa tangu mwanzo hakuwa na
mkataba wowote.
“Kama unazungumzia kocha wa Coastal
Union sawa, ila kwa upande wangu sikuwa na mkataba wa kuwa msemaji wa timu hiyo
yenye maskani yake jijini Tanga kwa wagosi wa kaya,” alisema.
Aidha, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji
ya Klabu ya Coastal Union ya Tanga, Albert Clement Peter , maarufu kama ‘Mkubwa
wa Kazi’ alikanusha vikali taarifa zilizosambazwa na baadhi vyombo vya habari
kuwa wamemfukuza kocha wao Morocco.
Kwa mujibu wa Peter, uongozi unakaa
kuangalia namna gani ya kuendelea na kocha huyo au wamuache, ila si kweli kuwa
tayari ameshaondolewa kikosini
LIKE FACEBOOK PAGE YETU ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
"....Nitakuwa busy sana na shughuli za TV kila mwisho wa week...kipindi cha Kabumbu na Azam TV...na nitasaini mikataba flani binafsi na kampuni flani mbili..natangaza KUJITOA nafasi ya usemaji Coastal Union. Ilikuwa gud experience sana kuwa Coastal..bonge la timu lenye values and tradions zake...am looking forward to work with them next tyme. Am still big fan. Thanks!!!!"
Pia BUSTANI YA HABARI ili endelea kuchimba chanzo cha kuamua kujiondoa kwenye timu hiyo pamoja na yeye mwenyewe kusema sababu ya yeye kumuondoa ni kubanwa na mjukumu mengine.BUSTANI YA HABARI ilifanikiwa kupata undani wa swala hilo baada ya kuipata posta ya kutoka kwenye LENZI YA MICHEZO ambayo ni moja ya blog ya michezo maarufu nchini TANZANIA......Isome post hiyo hapo chini
MSEMAJI wa zamani wa Coastal Union,
Edo Kumwembe, amesema kwamba hakuwa na mkataba wowote ndani ya timu hiyo yenye
maskani yake jijini Tanga, badala yake alikuwa akifanya kazi kwa kujitolea kama
mdau wa mpira wa miguu.
Edo Kumwembe, pichani.
Kumwembe aliyasema hayo siku chache
baada ya kudaiwa kuwa amemaliza mkataba wake ndani ya timu hiyo na hakuna
juhudi za kuongeza ili aendelee na kibarua chake.
Alisema jambo hilo linamfanya aone
kuwa hana anachoharibikiwa katika suala hilo, ambalo habari zinazotolewa katika
vyombo vya habari zinasema Kumwembe na kocha wa Coastal Union, Hemed Morocco
mikataba yao imekwisha.
“Hatujamfukuza kocha huyo kama
ilivyoripotiwa bali mkataba wake wa kuendelea kuinoa timu hiyo umekwisha hivyo tutaandalia
hatima yake, huku kwa sasa akiwa Bukoba kwa ajili ya kukipiga na Kagera Sugar
ya mjini humo,” alisema.
LIKE FACEBOOK PAGE YETU ILI UWE WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU
0 comments :
Post a Comment