-->

WANANCHI WAFUNGA NJIA KUMZUIA DKT EMMANUEL NCHIMBI KUPITA




Wananchi wenye hasira wakifunga njia kwa kutumia vyuma vya kingo vya daraja kuzuia msafara wa Dkt.Emmael Nchimbi kupita wakati akienda kwenye mkutano wa hadhara ambao baadae ulifanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya
kutwa ya matarawe iliyopo katika manispaa ya Songea (picha na Gideon Mwakanosya)


Diwani wa kata ya Matarawe (CCM) Makene aliyesimama katikati akijaribu kuwatuliza wananchi wa kata hiyo ambao walifunga barabara itokayo mjini kwenda matarawe kwa zaidi ya masaa mawili wakimshinikiza mbunge wao Dkt. Nchimbi awasaidie kulipanua daraja ambalo wamedai kuwa limekuwa likisababisa ajari nyingi pamoja na vifo aliyesimama nyuma yake ni Dkt Nchimbi (picha na Gideon Mwakanosya)
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment