Msafara wa Dr. Slaa ukiwasili uwanjani
Dr. Slaa na Mkewe wakilakiwa na Rais wa Chuo
Moja wa mamea mashuhuri marekani akimsalimia Dr. Slaa
Dr. Slaa akikaribishwa Ukumbuni kwenye Chakula cha asubuhi iliyoandaliwa kwa ajili yake
Moja ya Viongozi wa Juu Nchini Marekani
Dr. Slaa akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi ya Masenators walioalikwa kujumuika naye
Watoto nao walijitokeza kumsalimia na kupiga picha na mgeni mashuhuri Dr. Slaa
Watu wengi mashuhuri walioalikwa walimiminika kusalimiana na Dr. Slaa
Dr. Slaa na Senator Shelby wakibadilishana mawazo wakielekea uwanjani
Msafara wa Dr. Slaa ukiwasili uwanjani
Watu wa kila aina mashuhuri walifika kumsalimia Dr. Slaa
Dr. Slaa na Gavana
Dr. Slaa akisalimiwa na mmoja wa US congressmen waliohudhuria mchezo
Mshindi wa Nobel Peace Price na Dr. Slaa ndani ya Chumba cha watu mashuhuri wakijadili neno
Viongozi Mashuhuri wakiwa uwanjani kabla ya mchezo
kuanza. Dr. Slaa ndiye mgeni Rasmi. Hapa ni chumba maalum cha rais kwa
ajili ya wageni mashuhuri
Uwanja ulijaa hasa. Watu zaidi ya laki moja walihudhuria
SOURCE MAISHA TIMES
Blogger Comment
Facebook Comment