-->

PATA PICHA NA HABARI KAMILI KILICHOJIRI KWENYE KIKAO CHA WANAHABARI MKOANI MOROGORO

MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERARE A.K.A KOCHA AKIFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA HABARI MKOA WA MOROGORO ULIOANDALIWA NA MOROGORO PRESS CLUB NA UTPC UKIWA NA KAULI MBIU "PRESS CLUB NI NGUZO YA MAENDELEO YA JAMII" KATIKA UKUM
BI WA NEW SAVOY HOTELI MKOANI HAPA, KULIA NI MWENYEKTI WA MOROGORO PRESS CLUB IDDA MUSHI NA KUSHOTO NI KATIBU WAKE MTENDAJI ABEI DOGOLI. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM

MWENYEKTI WA MOROGORO PRESS CLUB IDDA MUSHI. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
KATIBU MTENDAJI WA MOROGORO PRESS CLUB ABEID RAMADHAN DOGOLI.
MWANDISHI WA TOP REDIO, YOHANA FUNDI AKIWA NA AFISA HABARI WA MANISPAA YA MOROGORO, LILIAN (KATIKATI) NA MKONGWE KATIKA TASNIA YA HABARI ANTHONY MHANDO WA KITUO CHA REDIO CHA PLANET WAKIFUATIA JAMBO. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
BONVETURE MTALIMBO AKIFUATILIA MJADALA ULIOKUWA UNAENDELEA KABLA YA KUCHANGIA.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
FITINA HAULE NIPASHE, MWENYEKITI WA JAHAZI ASILIA MKOA WA MOROGORO, ISMAIL RASHID NA MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA MOROGORO, BONIFACE NGONYANI KULIA WAKIFUATILIA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOKUWA YAKIENDELEA.
MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA MOROGORO, BONIFACE NGONYANI AKIELEZEA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAANDISHI WA HABARI NDANI NA NJE YA MKOA WA MOROGORO KATIKA MKUTANO HUO.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
MKUU WA KITENGO CHA MAWASILIANO NDANI YA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGOGO (ASP) SIMON MANKAMA NAYE. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
MKUU WA TAKUKURU MKOA WA MOROGORO, EMMANUEL KIYABO AKIELEZA JAMBO KWA WADAU WA HABARI KATIKA MKUTANO HUO NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA NAMNA OFISI YAKE INAVYOSHIRIKIANA NA WANAHABARI.
LATIFA GANZEL MWANDISHI WA UHURU NA MZALENDO AKITOA UFAFANUZI KATIKA MKUTANO HUO. KUSHOTO NI FITINA HAULE. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
ROSE CHAPEWA MWANDISHI WA MTANZANIA NAYE AKITOA HOJA KWA AFISA WA JESHI LA POLISI KATIKA MOJA WA WADAU WAKUU WA VYOMBO VYA HABARI.
HUYU NDIYE LILIAN JUSTICE MWANDISHI WA GAZETI LA MAJIRA NAYE AKICHANGIA MOJA YA MADA ZILIZOKUWA ZIKIJADILIWA. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
MWENYEKITI MSTAAFU WA MOROGORO PRESS CLUB, BONVETURE MTALIMBO AKITOA UFAFANUZI WA JAMBO KATIKA MKUTANO HUO. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
MWANDISHI WA IPPMEDIA FITINA HAULE.
MTANGAZJI WA ABOOD MEDIA, VUMILIA KONDA NAYE AKITOA UFAFANUZI.
MACNAMARA NGHAMBI AKIFAFANUA JAMBO.
SYLVESTER MASSAWE AKIELEZA JAMBO.
KATIBU WA AFYA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIFAFANUA JAMBO KUHUSU HOSPITALI HIYO KATIKA MKUTANO HUO, KUSHOTO NI RASHID LUSEWA AMBAYE NI MMOJA WA WADAU WAKUBWA WA HABARI. JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
JOFREY LIKANGAGA AKIELEZA JAMBO KATIKA MKUTANO HUO.


Na Severin Blasio,Morogoro.
MKUU wa Mkoa wa Morogoro Joel Benndera ametoa amri 15 kwa waandishi wa habari nchini ili ziwasaidie katika kuandika habari zenye usahihi na zisizo leta upendeleo kwa wadau wao.
Amri hizo ni waandishi kuwa na  imani,kumcha mungu,kuwa na subira,kuwa kuwa wakweli,kuwa waadirifu,kuwa waaminifu,kuwa wavumilivu,kuwa na ukarivu,kuwa watu wa kusamehe,kuwa watu wa amani,kuwa watu wanaotenda  haki,kuwa watu wenye kupenda mapatano,kuwa watu wenye upendo,kuwa watuwenye huruma na kusaidiana.
Bendera ametoa amri hizo juzi mjini hapa kwenye mkutano wa wadau wa vyombo vya habari na kusisitiza kuwa wakizifuata amri hizo hakuna mtu atakayelalamikia tasinia hiyo.
Amesema katika amri hizo 15 kila mwandishi anapaswa kutafakari na kujitathimini ni mara ngapi amefanya hivyo na kama bado basi aanze mara moja kufuata amri hizo.
Aliongeza kuwa endapo kila mwandishi atafuata amri hizo waandishi na wadau wao hawatakuwa na marumbano au kuogopana kwa kuwa watakuwa wanapendandana ,kuaminiana na hivyo vyanzo vya habari havitakuwa na wasiwasi katika utoaji taarifa.
Hata hivyo bendera aliwaahidi kuwapa ushirikiano kwa kuwapelekea taarifa hiyo kwenye ofisi zote za wilaya mkoani morogoro.
Amesema kuwa waandishi anawaamini na kuwa bila kushirikiana nao maendeleo katika mkoa huo hayawezi yakasonga mbele.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment