Naibu
Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akisaini Kitabu mara baada ya
Kuwasili Ofisi za Hazina Ndogo Jijini Arusha hapo Jana
Tar.12/03/2014,Kulia ni Bi.Deodatha R.Makani ambaye ni Mkurugenzi-Hazina
Makao Makuu Dsm.Mh.Mwigulu Nchemba akipokea maelezo kuhusu hali ya Utendaji wa Hazina Ofisi Ndogo -Arusha.
Naibu
Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na Watumishi/Watendaji
wa Hazina Ndogo Ofisi za Arusha.Mh.Mwigulu Nchemba amewasihi Watumishi
wa Hazina Ndogo-Arusha kuhakikisha Fedha za Umma Zinasimamiwa
Vizuri,Ubadhilifu Wowote ule hautafumbiwa Macho.
Naibu Waziri Wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akiagana na Mtendaji Mkuu Uhakiki Mali Ofisi Ndogo za Hazina Jijini Arusha.
0 comments :
Post a Comment