-->

CHELSEA WAMFEDHEHESHA ARSENAL KATIKA SIKU YAKE YA KUSHEREKEA MECHI 1000 AKIWA NA ARSENAL KWA KICHAPO CHA BAO 6-0

Kieran Gibbs is wrongly sent off against Chelsea Chelsea celebrate
Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya kutopoteza mechi katika dimba la Stamford Bridge katika mechi 76.
Pia ushindi wa 6-0 ndio mkubwa kabisa kwa Jose Mourinho tangu alipokuja katika ligi kuu ya England.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment