Leo hi BUSTANI YA HABARI ilibahatika kukutana na tukio la ugawaji kadi katika kijiwe kikongwe cha siasa mkoani Morogoro kinachofahamika kwa jina la TAHARIRI SQUARE.Watu kadhaa wamejiunga na chama hicho baada ya kupigwa darasa la nguzo za chama hicho ambazo zimeandikwa nyuma ya kadi.
Wanachama wa CCM waligoma kabisa kujiunga na chama hicho hata baada ya ushawishi wa hali ya juu uliokuwa ukiwasilishwa na bwana Ally Amiri,Jashia Hamisi na Omari Kombo.
Kijiwe cha TAHARIRI SQUARE kina wanachama wa vyama mbali mbali na pia hupata bahati ya kutembelewa na viongozi mbali mbali wa kisiasa
mbunge wa Tandaimba Juma Njayo alipotembelea kijiwe cha TAHARIRI SQUARE
0 comments :
Post a Comment