Mwenyekiti wa chama cha JUDO Tanzania JATA Khalfan Kiumbe
Moto ameelezea muafaka
waliofikia dhidi ya chama cha judo Zanzibar ZJA walipoketi na baraza la michezo
jana kuhusu ni wachezaji gani waende Kushiriki
michuano ya Jumuiya ya Madola kati ya Bara na Zanzibar khalfan kiumbe anasema
katika mahojiano ya simu kuwa mjapan anaeendesha mafunzo hayo Zanzibar ndiye
sababu kubwa ya kutokuwa na maelewano katika mchezo wa judo.
10</font>00" height="30" frameborder="0" webkitallowfullscreen="true" mozallowfullscreen="true" allowfullscreen>
10</font>00" height="30" frameborder="0" webkitallowfullscreen="true" mozallowfullscreen="true" allowfullscreen>
0 comments :
Post a Comment