Askari wa
kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan
'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu
kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari
Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.
Tukio
hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha
kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa
Kwa sasa
Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi
imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Endelea Kuwa Nasi kwa Taarifa zaidi..
0 comments :
Post a Comment