-->

WATU WANNE WALIOJIITA MANABII WAPIGWA KWA MAWE BAADA YA NYOKA KUTOKA KWENYE BEGI LAO

Nchini Kenya,Muranga kwenye kijiji cha Githiga watu wanne waliobeba bibilia na mabegi ambao waliitisha kikao cha umma na kuanza kuwaombea wagonjwa na kutoa mafunzo mbali mbali ya dini.Watu hao wanne wawili wakiwa wanawake ghafla nyoka akachomoka  kwenye mkoba wa mmoja wao na kuanza kunzunguka hali iliyowachukiza wananchi kuwahusisha na imani za kishirikina hivyo kuanza kuwaadhibu kwa mawe na dhana mbali mbali za jadi.Wanaume walifanikiwa kukimbia na kuwaacha wanawake wawili wakiendelea kupigwa na wananchi na kisha kuwapeleka kituo cha polisi cha Kangema kwa kujieleza kisha kupelekwa hospitali kwa matibabu .
SOURCE:STANDARD DIGITAL
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment