-->

TV 1 TANZNIA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Kipya cha Televisheni (TV 1 Tanzania),Marcus Adolfsson akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Southen Sun,jijini Dar es Salaam leo,wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Kituo hicho cha Televisheni kitakachokuwa kikirusha matangazo yake kutokea Jijini Dar na kuonekana nchi nzima.


Watangazaji wa Kipindi cha The One Show kinachorusha na Kituo hicho kipya cha Televisheni(TV 1 Tanzania),Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne wakizungumzia namna walivyojipanga kwenye kipindi chao hicho. 


 Wanahabari wakiendelea kupata taswira za watangazaji hao.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Kipya cha Televisheni (TV 1 Tanzania),Marcus Adolfsson (wa tatu kulia) pamoja na baadhi ya watangazaji wa televisheni hiyo.toka kulia ni Ezden Jumanne,Jokate Mwegelo,Meshack Nzoha na Agness Kahonga,wakiangalia moja ya vipindi vyao wakati wa uzinduzi huo.

Mmoja wa wanahabari akiangalia kipeperushi cha TV 1.




 Sehemu ya wanahabari waliohudhulia uzinduzi huo.
CHANZO:MJENGWA BLOG 

Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment