Manchester united wamtandika West ham bao 2-0 huku Wayne Rooney akipiga bao mbili mguuni mwake.Wayne alikuwa kwenye kiwango cha ajabu na cha kushangaza kwani aliweza kuipatia Man United bao la mbali sana...mita chache kutoka katika mstari wa kati mpira ambao ulibend hewani na kusafiri mita 53.Golikipa wa timu ya West ham alikuwa ametokea kiasi cha mita 20 kutoka golini kwake.Goli la Rooney linafanana sana na goli la Beckam ambaye alikuwepo uwanjani hapo.Beckam alionyeshwa akiwa na furaha na bashasha kubwa hasa baada ya kushuhudia goli linalofanana na goli ambalo alishawahi kufunga
BOFYA HAPA KUTIZAMA BAO LA BECKAMA LINALOFANANA NA BAO LA ROONEY
JE LIPI GOLI KALI ZAIDI KATI YA HAYO?
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment