-->

ETO'O:PEP GUARDIOLA ALITAKA KUNIFUNDISHA NAMNA YA KUFUNGA


Samuel Eto'o akimzungumzia Guardiola: "Nilifanyia mengi FC Barcelona. Guardiola alijisahahu na kunichezesha kwa dakika 20 dhidi ya Chivas na nikafunga mabao 3. Kutokea hapo hakuwahi kuwa na uwezo hata wa kuniangalia usoni wala kunisemesha. Sitakutaka kuongea nae mpaka pale aliponiomba msamaha.

"Nilimwambia karibia mara 10, na nikamuelezea vizuri kwa urefu. Pep alikuwa anataka kunifundisha mimi namna ya kuwa mshambuliaji wakati yeye alikuwa kiungo. Nilimwambia, "Haupo sawa." Ukweli ni kwamba Pep hakuwa na heshima juu ya hivi vitu katika dunia ya soka."
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment