-->

SOMA UJUMBE WA MJUMBE WA BUNGE LA KATIBA ALIOUTOA KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK


KOTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA.
LEO TUMEMALIZA KUPANGWA KWENYE KAMATI MBALIMBALI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA TUMESHAPATA VIONGOZI WA KAMATI HIZO KWA KUPATA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WA KAMATI HIZO.
SASA KAZI RASMI TUNAANZA ALHAMIS KUIDADAVUA NA KUICHAMBUA RASIMU YA KATIBA ILIYOWASILISHWA NA JAJI WARIOBA.
BADO MAONI YENU YANA NAFASI KUBWA SANA KWENYE MCHAKATO HUU KWANI SOTE TUNAJUKUMU LA KUIBORESHA ILI KUTOKA NA KATIBA ITAKAYOKIDHI MAHITAJI YA WATANZANIA WALIO WENGI.
KWA YEYOTE ALIYEIPITIA RASIMU HII NA KUISOMA ASISITE KUNITUMIA MAONI YAKE KUPITIA EMAIL YANGU AMBAYO NI waziirr85@gmail.com ILI NIWEZE KUYAFANYIA KAZI NA KUYASEMEA PIA.
NAAMINI TUTASHIRIKIANA KATIKA HILI.
TANZANIA KWANZA MENGINE BAADAE KWANI KATIBA NDIYO MSINGI MKUU WA NIDHAMU YA NCHI.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment