Mjumbe wa kamati kuu chadema na mbunge wa arusha mjini akiongea kwa
maskitiko makubwa leo katika mkutano wa hazara jimbo la kalenga kata ya
maboga kijiji cha Kiponzelo akiona mtoto
ambaye anaumri kama wa mwanae akiwa katika hali hiyo huku ikiwa mbunge
aliekuwepo alikua waziri wa fedha mtoto huyo hajui kitu kina itwa shule
au darasa.
CHANZO:MAARIFA YA JAMII
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment