Kwa
mujibu wa mtandao wa Goal.com, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na
mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajiri zaidi
duniani.
Katika
listi hiyo iliyotangazwa leo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza
iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu
msimu uliopita. Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real
Madrid miezi kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na
mwanasoka anayelipwa zaidi kimshahara Wayne Rooney.
Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya wanasoka matajiri zaidi duniani.
LISTI KAMILI
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m
SOURCE: Goal.com
0 comments :
Post a Comment