Hizi
ni hoteli kumi ambazo kama ukipata bahati ya kulala walau kwa siku moja
tu, unaweza kuhisi umeingia peponi kabla ya muda wako. Tazama picha za
hoteli 10 zinazovutia zaidi duniani.
1. Marina Bay Sands, Singapore

Mpaka kukamilisha kuijenga hoteli hii, bajeti ya dola bilioni 8 zilitumika.
2. Sheraton Huzhou Hot Spring Resort


Dola bilioni 6.5 zilitumika kujenga hoteli hii na ndani kuna hoteli sita zinazojitegemea.
4. Mardan Palace, Lara, Antalya, Uturuki

5. City Of Dreams, Macau, China

Kama panavyoitwa, ‘Jiji la Ndoto’ hapa utakutana na hoteli 3 kubwa, Hard Rock Hotel, Grand Hyatt Macau, na Crown Towers.
6. The Venetian, Macau, China

Panahusu mazungumzo ya casino, basi The Venetian, Macau ni baba lao.
Ikijengwa kwa dola bilioni 2.4, ilipomalizka ilikuwa na casino kubwa
zaidi duniani.
7. The Cosmopolitan, Las Vegas

Hii ni sehemu ambayo maceleb hujivinjari zaidi. Ilijengwa kwa gharama ya dola bilioni 4.9.
8. Emirates Palace, Abu Dhabi

Ujenzi wa kiota hiki ulitumia gharama ya dola bilioni 5 na kuifanya kuwa miongoni mwa majengo aghali zaidi.
9. Burj Al Arab, Dubai

Ukiitaja ‘Dubai’, kulitaja jina Burj Al Arab huwezi kuliepuka. Ujenzi
wake ulitumia miaka sita kwa gharama ya dola milioni 650. Na
ilipofunguliwa mwaka 2000, jengo hili likawa refu kuliko majengo yote
duniani.
10. Atlantis, The Palm, Dubai

Ujenzi wa jengo hili uligharimu dola bilioni 1.5
0 comments :
Post a Comment