-->

TAARIFA YA KUREJEA KWA NDANDA FC MKOANI MTWARA BADA KUPANDA LIGI KUU

Ofisa habari na mawasiliano wa MTWAREFA ndugu Marino Kawishe
Chama cha soka mkoani Mtwara MTWAREFA kimesema kuwa timu ya Ndanda Fc inatarajia kurejea mkoa Mtwara siku ya ijumaa kwa ndege ya ATC ambapo taratibu za kuipokea zinatarajiwa kutolewa kesho baada ya kikao cha kamati tendaji saa nne asubuhi.
Chama cha soka Mtwara kimeunda kamati mbili kwa ajiri ya mapokezi kamati ya maandalizi na kamati ya mapokezi ambayo ni mapombo na burudani kamati itadili chakula na malazi kamati ya mapambo na burudani usafiri uwanja na music hii msemaji wa chama cha mpra wa miguu mkoa mtwara

Ofisa habari na Mawasiliano

Chama cha soka Mkoni Mtwara MTWAREFA

Marino kawishe. 0713 984439.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment