Mgombea
Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM Godfray Mgimwa akiongea na
wapigakura katika kijiji cha Udumuka kata ya Ifunda wakati wa mkutano wa
kampeni huku akitoa ahadi ya kukabiliana na changamoto walizonazo
((Picha na Said Ng'amilo)
Wananchi
wa kijiji cha Udumuka wakimsikiliza mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga
Godfray Mgimwa kupitia chama chamapinduzi akimwaka sera zake kwa kutumia
Ilani ya CCM. (Picha na Said Ng'amilo)
Kampeni zikiendelea katika kijiji cha Udumuka Jimbo la Kalenga.(Picha na Said Ng'amilo)
(MM)
0 comments :
Post a Comment