Mtihani mpya wa Taifa utaanzishwa kwa wanafunzi wa darasa la pili
nchi nzima, ili kuchuja watakaoshindwa kusoma, kuandika na kuhesabu.
Uamuzi wa kuanzishwa mtihani wa Taifa wa darasa la pili,uliotangazwa na serikali ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa matokeo makubwa sasa katika sekta ya elimu.

0 comments :
Post a Comment