-->

APIGWA VIBAYA NA WANANCHI KWA KUHUSISHWA KUSHIRIKI NA MAUAJI YA DEREVA WA BODA BODA

kijana anayetuhumiwa kumteka na  kufanya mauwaji ya
  dereva  Boda  boda Edga Lalika akiwa amezimia baada 
ya  kupewa kichapo na madereva  boda boda  leo eneo la 
Stendi  kuu ya mkoa  wa Iringa baada ya kukamatwa  eneo la Mwangata

Hapa akiokolewa na polisi

Askari polisi mjini Iringa  wakimuokoa mtuhumiwa 
wa mauwaji ya  dereva  boda boda mjini Iringa

Hapa  akiingizwa katika gari la polisi kunusuru  kuuwawa kwa kuchomwa moto

Wananchi  wakishuhudia  tukio  hilo leo


Polisi  wakimuokoa mtuhumiwa wa mauwaji  ya  dereva  boda boda  leo mjini Iringa


Gari la  polisi ambalo limembeba mtuhumiwa wa mauwaji ya  dereva  boda boda


Msafara  wa madereva  boda  boda  wakilifukuza gari la  polisi kwa nyuma


Mwili  wa marehemu Edga Lalika anayedaiwa kuuwawa na mtuhumiwa huyo juu aliyekamatwa                
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment