Chama cha kiislam cha nchini Misri kimeendelea kuonja chungu ya utawala mpya lioingia madarakani baada ya mahakama kuamuru kutaifisha mali zote zinazomilikiwa na Muslim Brotherhood na kuzifunga taasis pamoja matawi ya taasisi zote za chama hicho,Pia mitandao yote ya kijamii iliyokuwa inamilikiwa na chama hicho kiislam zimefungiwa .Hivyo hata zile taasis zilizokuwa zinaisaidia chama hicho kifedha basi wanatakiwa kusitisha mara moja.
Hatua hiyo ya utaifishwaji wa mali pamoja kufungwa taasisi zote zinazoendeshwa na chama hicho zilikuja baada ya kauli ya mahakama iliyotolewa na Hakimu Mohammed al-Sayed on September 23
Hatua hiyo ya utaifishwaji wa mali pamoja kufungwa taasisi zote zinazoendeshwa na chama hicho zilikuja baada ya kauli ya mahakama iliyotolewa na Hakimu Mohammed al-Sayed on September 23
NA SHAURI ORGANISATION ZINAZO SHUGHULIKIA HAKI ZA BINAADAM ZIFUTWE COSE WAMEBASE UPANDE MMOJA WA KIDINI 2.DEMOCRASIA IPIGWE MARUFUKU MARUFUKU ULIMWENGUNI KOTE SABABU NI UJINGA MTUPU
ReplyDelete