

Taarifa iliyotolewa na kamanda Kova kupitia ITV imeeleza kuwa Polisi wamechunguza na kugundua kwamba maandamano hayo yataleta usumbufu kwa watu wengine na kwamba kwa kuwa lengo ni kufika Jangwani basi Viongozi wa vyama hivyo wawaambie wafuasi wao waende Jangwani bila Maandamano.
Source: ITV
0 comments :
Post a Comment