-->

TANZANIA ISLAMIC FOUNDATION YATOA MSAADA WA UKARABATI WA JOKOVU LA HOSPITALI YA MKOA MORORGORO

Mwenyekiti Aref Nahdi akikabidhi hundi ya millioni moja kwa Raisi wa Morogoro Municipal Community Foundation Ndg.Mwadhini Omari Myanza kwa ajili ya kukarabati Jokovu la Hospitali ya Mkoa Morogoro, na Mh.Steven Masishanga akishuhudia na ni mdhamini pamoja na Aref Nahdi pia mdhamini wa MMC
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment