MAJI NI DAWA YA KILA KITU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wajulishe na weninge tafadhali kwa njia ya ku-SHARE mara umalizapo kusoma ujumbe huu.
1. Maji husaidia kumeng’enya vyakula tunavyokula
2. Maji husaidia kusambaza viini lishe mwilini kama vile vitamin, madini na glukosi ambazo huleta nguvu mwilini.
3. Maji huondoa sumu mwilini, sumu hukusanywa na kisha hutolewa kupitia kwenye mkojo au kinyesi.
4. Maji husaidia kuvunja vunja kemilaki tunazokula
5. Maji husaidia kuweka sawa joto la mwili endapo kunatokea mabadiliko
ya hali ya hewa (mazingira ya joto au baridi). Maji hufanya mwili kutoa
joto wakati hali ya hewa ikiwa ya joto kuzidi joto la mwili. Huufanya
mwili kuanza kutoa jasho, na kitendo hiki huufanya mwili kuwa na joto
lake linalotakiwa.
6. Maji yanafanya kazi kama shok abzoba (shock
absorber) kwenye macho, ubongo, uti wa mgongo na mifupa. Inafanya kazi
pia ya kuhakikisha maungio ya mifupa kuwa na maji ya kutoka na
kuhakikisha mifupa haisagiki, ute (cartilage) unaopatikana katikati ya
mifupa ukipungukiwa maji huleta matatizo.
ANGALIZO: Mtu ambaye
hapati maji ya kutosha kila siku, anausababishia mwili wake kutokuwa na
afya inayotakiwa kwa kuwa kazi hizo tano hapo juu hazitafanyika
ipasavyo.
MAHITAJI: Tafiti zinaonesha kuwa mwili wa mwanadamu unahitaji maji kila siku kama ifuatavyo:
a) Mwanamume lita 3 za maji (sawa na glasi 13)
b) Mwanamke lita 2.2 za maji (sawa na glasi 9)
DOKEZO: Kunywa maji kidogo kidogo kama vile unakunywa juice hadi utajikuta umefikisha lita zinazohitajika
MAJI NI DAWA YA KILA KITU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wajulishe na weninge tafadhali kwa njia ya ku-SHARE mara umalizapo kusoma ujumbe huu.
1. Maji husaidia kumeng’enya vyakula tunavyokula
2. Maji husaidia kusambaza viini lishe mwilini kama vile vitamin, madini na glukosi ambazo huleta nguvu mwilini.
3. Maji huondoa sumu mwilini, sumu hukusanywa na kisha hutolewa kupitia kwenye mkojo au kinyesi.
4. Maji husaidia kuvunja vunja kemilaki tunazokula
5. Maji husaidia kuweka sawa joto la mwili endapo kunatokea mabadiliko ya hali ya hewa (mazingira ya joto au baridi). Maji hufanya mwili kutoa joto wakati hali ya hewa ikiwa ya joto kuzidi joto la mwili. Huufanya mwili kuanza kutoa jasho, na kitendo hiki huufanya mwili kuwa na joto lake linalotakiwa.
6. Maji yanafanya kazi kama shok abzoba (shock absorber) kwenye macho, ubongo, uti wa mgongo na mifupa. Inafanya kazi pia ya kuhakikisha maungio ya mifupa kuwa na maji ya kutoka na kuhakikisha mifupa haisagiki, ute (cartilage) unaopatikana katikati ya mifupa ukipungukiwa maji huleta matatizo.
ANGALIZO: Mtu ambaye hapati maji ya kutosha kila siku, anausababishia mwili wake kutokuwa na afya inayotakiwa kwa kuwa kazi hizo tano hapo juu hazitafanyika ipasavyo.

About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment