Tangawizi ina faida nyingi sana kwa mwili wa mwanadamu. Baadhi ya faida hizo ni kama ifuatavyo :
1. Kutibu kutokusagika kwa chakula tumboni,. 2. Kutibu tatizo la gesi tumboni 3. Kuondoa tatizo la msokoto wa tumbo (bila kuharisha) 4. Husaidia kuzuia kutapika. 5. Mshtuko/Mkazo wa ghafula (wa msuli), 6. Maumivu ya tumbo na Kibofu cha mkojo ikiambatana na Homa, Mafua, Kukohoa na Pumu.
0 comments :
Post a Comment