Gari hilo limetengenezwa na kampuni ya Terrafugia kwa mara ya kwanza duniani imetengeneza gari yenye uwezo wa kupaa.
Gari hiyo ina mabawa ambayo itaisaidai wakati wa kupaa na kutua pia ina betri yenye uwezo wa kuchajiwa.
HAPA GARI HILO LIKIPAA ANGANI KAMA NDEGE ZA ZINAZOBEBA ABIRIA NA MIZIGO.Na
hapa likitembea ardhini katika safari za kwa kutumia barabara na pindi
mtumiaji anapoona amechoshwa na matembezi ya barabara huamua kutumia
anga kwa kupaa, hayo ndiyo moja ya mafanikio ya wanasayansi.
0 comments :
Post a Comment