Jyoti Amge amezaliwa December 16, 1993 ni mkazi wa Nagpur, Nchini India, vitabu
vya dunia vya kuweka kumbukumbu (Limca
Book of Records na Guinness
Book of Records) vimethibitisha kuwa Jyoti ndiye mwanamke mfupi kuliko
wanawake wote duniani walio hai.
Jyoti Amge mwenye urefu wa futi
62.8 cm (2
ft 0.6 in) amefaya mahojiano na
Television mbalimbali katika nchi za magharibi
Udomaaji wake kiurefu ni kutokana na ugonjwa unaojulikana
kwa jina la achondroplasia
Hizi ni baadhi ya picha zake
Jyoti akiwa amebebwa na Baba yake Mzazi
Jyoti akipimwa urefu na Dokta wake pembeni ni mama yake mzazi pamoja na baadhi ya ndugu zake
Jyotii Amge akijilinganisha na chupa ya soda
Jyotii Amge akiwa na wazazi wake
Jyotii Amge akiwa na wanafunzi wenzake shuleni
Jyotii Amge akipimwa urefu
Jyotii Amge akiwa na mtu mrefu kuliko wote duniani
HABARI KUTOKA PATA PICHA
0 comments :
Post a Comment