Watoto hawa walikamatwa maeneo ya stendi ya mabasi ya Ubongo iliyopo Dar es salaam,na kufikishwa kizimbani ili kujibu mashtaka hayo.Inasemekana walipandishwa kizimbani katika ya Sokoine Drive.Siku zote maisha ni kuchagua
JE WATOTO HAWA WAMECHAGUA KUISHI MAISHA YA UCHOKRAA AU MFUMO WA MAISHA NDIO UMEWACHAGULIA WATOTO HAWA MAISHA YA NAMNA HII?
TOA MAONI HAPO CHINI
JE WATOTO HAWA WAMECHAGUA KUISHI MAISHA YA UCHOKRAA AU MFUMO WA MAISHA NDIO UMEWACHAGULIA WATOTO HAWA MAISHA YA NAMNA HII?
TOA MAONI HAPO CHINI
0 comments :
Post a Comment