-->

SHUHUDIA HUYU CHUI MWENYE NJAA AKIPAMBANA NA MAMBA KAITAKA KUMFANYA KITOWEO


Mpiga picha mashuri Paul Donahue alifanikiwa kumpiga picha chui wakati yuko kwenye majani wakati anawinda mpaka anaingia kwenye maji na kufanikisha kumpata mamba kama windo lake. Tukio ili lilitokea kwenye mto wa Tres Irmãos ulioko katikati mwa nchi ya Brazil huko Amerika ya Kusini.
Jaguar akiingia majini
Hapa mamba akitoka majini baada ya  kuzidiwa ujanja na chui




Mamba akijaribu kukimbia 
Mamba akijaribu kujitetea 
Lakini ilifikia mahali akawa mpole kwa chui




Mamba kaishakuwa mpole
chui akimtoa majini mamba 
SOURCE:HABARILINE
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment